Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KISIASA , HABARI ZA LEO - Mkutano kati ya Raisi Kikwete na Chadema wamalizika

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
  Rais Kikwete akijadiliana na Profesa Mwesiga Baregu (kulia), Freeman Mbowe na Mh Bernard Membe wakati wa mapumziko mafupi.
 Mwenyekiti wa Chadema  Freeman Mbowe akijadiliana na Jambo na Rais Jakaya Kikwete(katikati)Waziri wa Mambo ya Nje Na ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akisikiliza.
  Mkutano ambao leo umedumu kwa takriban masaa matano ukiendelea.
  Wajumbe upande wa Serikali.
 Ujumbe wa Uongozi wa CHADEMA ukipitia kwa makini taarifa ya pamoja kati ya serikali na chama hicho kabla ya kukisambaza kwenye vyombo vya habari ikiwa ni hitimisho la mkutano wao baada ya mazungumzo ya siku mbili Ikulu jijini Dar es salaam.
Prof. Baregu akiagana na Rais Kikwete.
  Gari la Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na lingine lililobeba wajumbe wa uongozi wa CHADEMA yakiondoka IKULU baada ya mkutano na Rais Jakaya Kikwete leo.  
PICHA ZOTE NA IKULU

0 comments

Post a Comment