Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - JK akutana na VIONGOZI WA MADHEHEBU YA KIKRISTO jijini Dar

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Rais Jakaya Kikwete (Kulia) akijiandaa 
kuzungumza na viongozi wa dini kutoka Jukwaa la 
Wakristo Tanzania (TCF) kwenye ukumbi 
wa Karimjee jijini Dar es Salaam Ijumaa hii 
 Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa madhehebu ya Kikristo Tanzania baada ya kikao chao kilichofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Ijumaa. Kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya rais anayeshughulikia mahusiano na Uratibu Mhe. Steven Wassira.  

0 comments

Post a Comment