Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - YANGA YATINGA NA VIKOMBE vyao BUNGENI dodoma

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter


Wachezaji wa Yanga wakiwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda (katikati),Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye (kulia) walipopeleka Kombe la ubingwa wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) na Kombe la ubingwa wa Tanzania Bara, bungeni Dodoma, leo. 
(PICHA ZOTE NA MARGARETH KINABO-MAELEZO) Spika wa bunge akisalimiana na wachezaji wa Yanga bungeni Dodoma leo Waziri wa TAMISEMI, George Mkuchika (kushoto), Christopher Chiiza (katikati) na Mohamed Misanga wakifurahia kimbe la yanga la ubingwa wa Afrika Mashariki.

0 comments

Post a Comment