Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Mbeya yajiandaa na sikukuu ya mashujaa

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya leo. sikukuu hii itafanyika Mtwara kitaifa kesho





Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride


Wanajeshi wakiendelea na mazoezi kwa ukakamavu


Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi. 








0 comments

Post a Comment