Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - Kili Stars yanyukwa 1-0 uwanja wa Taifa

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Kikosi cha Kilimanjaro Stars.
TIMU ya soka ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ jana iliangukia ‘pua’ baada ya kuchapwa bao 1-0 na timu ya taifa ya Rwanda, Amavubi katika mechi ya michuano ya Kombe la Chalenji iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

0 comments

Post a Comment