Timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' imeibuka mshindi wa tatu katika michuano ya Chalenji baada ya kuichapa mabao 4-3 timu ya taifa ya Ethiopia katika mechi iliyopigwa mapema hii leo kabla ya mechi ya fainali kuanza.

Online : |
You Are Here: Home - - UGANDA YAIBUKA MSHINDI WA TATU MICHUANO YA CECAFA
0 comments