Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Zitto akalia kuti kavu • DK. SLAA ASHANGAZWA NA TAARIFA

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, Zitto Kabwe, hivi sasa yuko katika wakati mgumu na huenda akavuliwa wadhifa wa Unaibu Katibu Mkuu.

Tanzania Daima Jumapili, limedokezwa kuwa kikao cha Kamati Kuu ambayo kilianza jana na kumalizika leo kinaweza kufikia uamuzi huo baada ya wabunge wa chama hicho juzi kuamua kumvua Zitto wadhifa wa Naibu Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Endelea Kusoma Habari Hii...
Tags:

0 comments

Post a Comment