Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - MJUE MDAU HUYU.............

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
karibuni ndugu wapenza, wadau na wasomaji wa THE THOMCOM katika likipindi lenu matata kabisa la mjue mdau huyu... leo tunawaletea mdau MSANII WA MUZIKI WA POP mashambizzzooo. Huyu ni mmoja wapo wa vipaji vinavyokua kwa kasi sana hapa Moscow Russia kwa kuendeleza muziki huo ambao ni chaguo la wengi hapa Duniani. Ebu sikieni, hiri rijamaa rinatema cheche kinoma. rimetoa single bwana. Nimesikiriza risingle lakeeeee....nikaona bora niwashirikishe wadau na nyie mpate riburudani toka wimbo wake unaoitwa....... Sasa sikirizeni afu mtasema kama nimekosea..
Tags:

0 comments

Post a Comment