You Are Here: Home - - KWA WATANZANIA WOTE CHUO KIKUU LUMUMBA....
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
RECTOR AMESAINI OMBI LILILOOMBWA NA BALOZI WA TANZANIA MOSCOW RUSSIA
Na: THOMCOPM
RECTOR wa chuo kikuu cha urafiki Lumumba Prof. Vladimir Mihailovich Fillipov amesaini ombi lililoombwa na Balozi wa Tanzania Russia Kaptain mstaafu Balozi Jaka Mwambi kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kuwa ada kwa malipo ya wanafunzi wanaosoma chuoni hapo itategemea mkataba uliosainiwa wakati wanajiunga chuoni hapo. Kutokana na habari zilizoifikia THOMCOM, Rector amemuandikia barua msaidizi wake anayehusika na maswala ya uhusiano wa kimataifaProf. DENISENKO kuwa ada kwa watanzania italipwa bila ongezeko la asilimia 15 kila mwaka. kwa upande wa wanafunzi, hii ni habari njema kabisa na wanafunzi wanaombwa kuanza kulipa ada hiyo mapema iwezekanavyo..
thanx kwa ujumbe wengine tulishaanza kutumia ada thanx mheshimiwa kwa kutoa ujumbe.
du!mazee kwani ada tunalipa sisi??mbona mi najua mihela yote ile ni yetu,du