Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - MJUE STAR HUYU...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter STAR ANAYETAFUTA UMAARUFU KWA KUPONDA WATU. kumekuwa na tabia ya watu kujitafutia umaarufu kwa kuongea sana na kuponda watu wengine katika mikutano mbalimbali ili kuonekana kuwa ni hodari wa kuongea na kuonesha hasira ili kuonekana kuwa wako serious. moja wa mastaa hao ni mdau mmoja ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili chuo kikuu kimoja ambaye mara zote amekuwa akiongea kwa hasira na jazba alilaumu Maafisa wa serikali na Ubalozi pamoja na watu wengine kwa madhumuni ya kujitafutia umaarufu. labda ni kwa sababu ya mpango wake wa kugimbea urais wa umoja wa wanafunzi. taarifa za uhakika zilizoifikia THE THOMCOM zinaonesha kuwa tabia ya kijana huyu kudhalilisha watu wengine katika mikutano ni sugu miongoni mwa watanzania wengi.
Tags:

4 comments

  1. Anonymous says:

    Mwanangu mbona maoni hutundiki mwanangu!? acha kutubania, watu tunamaoni ya maana tunaweza kuwaelimisha hawa vichwa maji wanaojidai wanajua kuongeea kumbe wanaongea pumba(samahani hawajui kuongea ila wanajua kuropoka maana nadhani raia wanakumbuka mambo aliyoongea mjumbe mmoja kwa Mh. Mbaruku)

  2. Anonymous says:

    ebwanaa ee tundika maoni hayo watu waelimike!!!!!!!!!!!

  3. Anonymous says:

    jamani sio kosa lao inategemea na watu hao wametokea wapi huko makwao kazi ilikuwa ni kuropoka maneno machafu utafikiri mswaki hawapigi.kati ya hao wooooooooteee hamna mwenye kichwa kinachofanya kazi wote hao wanaendeshwa na mtu mmoja big boss akisema gomeni basi na wao wanagoma ipo siku big boss atawaambia kitu cha ajabu nayi mtafanya vivyo hivyo. poleni sana big boss anawapeleka peleka na kateka nyara akili zenu pungufu so hamna kimbilio . kilicho baki msali sana ili kutoka huko utumwani mliko.

  4. Anonymous says:

    Mkuu! Hongera kwa kutuletea mada! Sina mengi sana ya kusema, ila refer - general jb(the formal first president, the most respectable person in and outside lumumba) alisema -jumuia yetu ina wendawazimu, kazi yao ni kujenga hoja za kiwendawazimu! Maono ya the formal first president general b, ndo yanaonekana leo! Hawa wanajiita magwiji wa siasa wamechemsha, hoja zao ni za kiwendawazimu !hawana jipya! Wako hoi ! Latest news -kwagilwa aliwahi kuchanganyikiwa akiwa tz ana alilazwa ktk hospital moja ya vichaa.! Watu wanaomfaham wametuletea data zake! Jamani watanzania muogopeni mtu huyu, ana ulemavu wa akili! Hatufai kabisa.

Post a Comment