Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - TUSIKUBALI KUBURUZWA KAMA WANYAMA

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter TUKUMBUKE HII NI MOSCOW, WALA SIO MANZESE AU TEMEKE! Kuna mijitu mingine kwenye vikao inaongea sanaaaaaaaa ili kujionesha kuwa ni maarufu, na hodari wa kusema. mijitu mingine inaongea sanaa ili wasichana waone, na wengine wanajitia hodari wa kuongea na kutukana watu wengine ili watu wafurahi na wacheke. Mijitu kama hiyo inafikiri kwa kuponda watu wengine ndio kujitafutia umaarufu, kumbe ni kujichoresha na kudharaulika. Hata kama kuna afisa kaongea meneno fulani, hakuna sababu ya kusema mbele ya mkutano kuwa afisa huyo ni mpumbavu. haya maisha ni mapito tuu na hatujui hali halisi itakuaje. Wengine are too selfish! wanatamani hata kumdhuru mtu kisa anaonesha mafanikio katika maisha yake. WENGINE WANAFIKIRI UONGOZI NI KUWAFURAHISHA TUU WALIOMCHAGUA. WAKATI MWINGINE NI LAZIMA KUONESHA MSIMAMO UNAOLEMEA UKWELI. Viongozi wengine wanafikiri ili kusalia madarakani ni lazima kupambana kwa njia za hasira na migogoro na migomo isiyokuwa na msingi wala mantiki katika kutatua matatizo yao. KIONGOZI BORA NI YULE ANAYEFUATA UKWELI BILA KUJALI ANAWAFURAHISHA WAHUSIKA AU LA. Lazima tujue tumetoka wapi na tunaelekea wapi, na lazima tujue vizingiti vya maendeleo yetu viko wapi sio kuropoka tuu. KUSOMA SIO KUELIMIKA. KAMA MTU UNAWEZA KUCHUKUA MAAMUZI YA AJABU KWA SHIDA NDOGO TUU AMBAYO INAWEZA KUTATULIWA KWA NJIA NYINGI, TUNACHUKULIA KUWA MTU HUYO HANA ELIMU, MPUMBAVU. MANENO HAYA MACHACHE YAWAFIKIE WATANZANIA WOOOTE CHUO KIKUU CHA URAFIKI LUMUMBA MOSCOW RUSSIA.
Tags:

0 comments

Post a Comment