Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO -

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

WAFANYAKAZI wa Wizara ya Nishati na Madini leo wamempokea kwa shangwe Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. David Jairo aliyekuwa amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma…
Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini wakimpokea kwa furaha Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. David Jairo aliporipoti kazini leo asubuhi.
wamempokea kwa shangwe Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. David Jairo aliyekuwa amesimamishwa kazi kutokana na tuhuma za kuchangisha shilingi milioni 50 kutoka kila taasisi iliyokuwa chini ya Wizara hiyo ili kufanikisha kupitishwa kwa bajeti ya Wizara hiyo.
Jairo amerejeshwa kazini na Ikulu baada ya uchunguzi wa tuhuma hizo kubainika kuwa si za kweli.

0 comments

Post a Comment