Wabunge wa CCM wa mkoa wa Mbeya na kwengineko wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauyem kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano mkubwa wa hadhara
Katibu wa Vijana na Jimbo la Mbozi wa Chadema Warren Kaminyonga akionyesha kadi yake ya CHADEMA kabla ya kumkabidhi NAPE
Nape akimkaribisha Mwenyekiti wa Mtandao wa Chadema wa wanataaluma Prince Mwaihoja
Nape akihutubia maelfu ya watu katika uwanja wa Rwandanzovye mjini Mbeya
Mh. Samwel Sitta akihutubia katika mkutano huo
Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya
Mjumbe wa NEC, Oganaizesheni Asha Abdallah Juma akihutubia
Mbunge wa Simanjiro Mh. Ole Sendeka akihutubia
Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof Mwakyusa akizungumza. Kushoto ni Nape
Maelefu ya watu kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya
Mbunge wa Kyela Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia kwenye mkutano huo
Nape akicharaza gita wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Rwanda, Nzovwe, mjini Mbeya
Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara
Msafara wa pikipiki ukipokea msafara
0 comments