Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KIMATAIFA , HABARI ZA LEO - Barabara ya Lumumba nyeupeeee... Medvedev is here!

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Leo kutwa Barabara inayotenganisha hostel za Chuo kikuu ca Urafiki Lumumba Moscow Russia na main campus imebakia nyeupeeee wakati Raisi wa Urusi Dmitry Mededev akiwa chuoni hapo akikagua ubora wa ufundishaji chuoni hapo.


Hadi taarifa hii inaingia mitamboni, Bw. Medvede bado alikuwa anaendelea na ukaguzi katika jengo la institute of foreign languages. Huko Mh. Raisi alikagua ubora wa waalimu wanaofundisha lugha ya kirusi pamoja na uelewa wa wanafunzi wageni chuoni hapo
  

0 comments

Post a Comment