Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Kanisa laanzisha Chuo cha Madaktari Ifakara

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter KANISA Katoliki Jimbo la Mahenge, mkoani Morogoro, linatarajia kuanzisha chuo kikuu cha madaktari, ikiwa ni sehemu ya jitihada zake katika kuisaidia serikali kuboresha sekta ya afya nchini.

Chuo hicho kitakacho julikana kama St Francis University College of Health and Allied Sciences(SFUCHAS), kitakuwa kishiriki cha Chuo Kikuu cha Mtakatifu. Augustine (SAUT), cha jijini Mwanza.


Tags:

0 comments

Post a Comment