Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Wee acheni tuu, huu ni ukiukaji wa haki za binadamu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Marekani yawarejesha nyumbani wafungwa 12 Rais wa Marekani, Barack Obama Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika gereza hilo la GuantanamoWashington
MAREKANI imesema jana kuwa imewarejesha wafungwa 12 kutoka jela ya Guantanamo na kuwapeleka nyumbani kwao nchini Afghanistan, Yemen na Somalia, taifa ambalo limo katika mapigano ya wao kwa wao na ambalo linasadikiwa kuwaficha wapiganaji wa kundi la al-Qaeda – jambo ambalo limezusha wasiwasi kuhusu hatua hiyo ya kuwarejesha wafungwa hao...
Tags:

0 comments

Post a Comment