You Are Here:
Home -
-
Kumbukumbu...Sherehe za New Year Zilizopita zilizofanyika katika Kumbi za Ubalozi wa Tz.
Kumbukumbu...Sherehe za New Year Zilizopita zilizofanyika katika Kumbi za Ubalozi wa Tz.
Posted by B.M.T on Saturday, December 19, 2009 //
3
comments
hiyo rub 500 mliyoweka ni kiasi kikubwa mno,hasa kwa watanzania.kama vp hiyo 500 iwe kwa watu 2,au rub 300 each.ama sivyo itadoda hiyo sherehe yenu.huo ni ushauri wa bure!kaeni kama kamati muamue upya,hizo ni habari chepesi nyepesi kutoka kwa watanzania.jaribuni kufanya upelelezi,mtajionea.
msije kuzidiwa na pombe halafu mkaanza kuonesha makucha yenu jamani halahala msitutie ila mbaya hiyo siku.......nadhani nimeeleweka
kwa maoni yangu inategemea na jinsi mchango huo utakavyotumika. ni kweli vitu vimepanda bei napendekeza hata kama ikibaki hiyo 500 ila na ubora wa sherehe yenyewe uwe unaendana na kiasi hicho. Kama tukitoa kidogo basi na ubora wake utakuwa sawa na kiasi hicho pia.