Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Kumbukumbu...Sherehe za New Year Zilizopita zilizofanyika katika Kumbi za Ubalozi wa Tz.

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Tags:

3 comments

  1. Anonymous says:

    hiyo rub 500 mliyoweka ni kiasi kikubwa mno,hasa kwa watanzania.kama vp hiyo 500 iwe kwa watu 2,au rub 300 each.ama sivyo itadoda hiyo sherehe yenu.huo ni ushauri wa bure!kaeni kama kamati muamue upya,hizo ni habari chepesi nyepesi kutoka kwa watanzania.jaribuni kufanya upelelezi,mtajionea.

  2. Anonymous says:

    msije kuzidiwa na pombe halafu mkaanza kuonesha makucha yenu jamani halahala msitutie ila mbaya hiyo siku.......nadhani nimeeleweka

  3. Anonymous says:

    kwa maoni yangu inategemea na jinsi mchango huo utakavyotumika. ni kweli vitu vimepanda bei napendekeza hata kama ikibaki hiyo 500 ila na ubora wa sherehe yenyewe uwe unaendana na kiasi hicho. Kama tukitoa kidogo basi na ubora wake utakuwa sawa na kiasi hicho pia.

Post a Comment