Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Inatakiwa tahadhari kubwa hasa kwa watanzania wanaotoka home, ili kuepuka mlipuko mwingine wa mafua ya Swine chuoni Lumumba

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Kutokana na mlipuko mkubwa wa mafua ya nguruwe yaliyoukumba mkoa wa mwanza wiki hii, ni tahadhari kwa wanafunzi wote na wakaazi wote wa mwanza ambao wako safarini au wanatarajiwa kwenda maeneo ya mwanza wanaaswa pindi warudipo toka safarini Tanzania kurudi Moscow (chuoni) wawasili kwanza hospitali ili kuangalia afya ili kuepuka mlipuko mwingine wa mafua ya nguruwe ambapo mlipuko uliotokea chuoni mwishoni mwa mwezi uliopita ulisababishwa na wanafunzi wa Kitanzania ambao walikuwa safarini katika kipindi cha summer iliyopita.
Mafua ya nguruwe yatikisa Mwanza Nguruwe
*Watu 142 hoi wakiwemo wanafunzi *Shule ya msingi yalazimika kufungwa Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imekumbwa na mlipuko wa ugonjwa wa mafua ya nguruwe ambapo watu 142 wakiwemo wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Ilula, wamethibitika kuugua ugonjwa huo...
Tags:

1 comments

  1. Anonymous says:

    msee wa blog kitimoto hatuwachi ng'o, hata ututishe msee wangu

Post a Comment