Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KIMATAIFA , HABARI ZA LEO - Mnuso Moscow....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter



ULE MNUSO WA KUSHEREKEA SIKU YA MUUNGANO DAY UMESHAKAMILIKA,, MNUSO HUU UTAFANYIKA KWENYE LIUKUMBI MAARUFU LILILOPO NDANI YA SPORTS COMPLEX YA RUDN MOSCOW NCHINI URUSI TAREHE 23/04/2011 KUANZIA SAA TATU HIVI USIKU HADI LIAMBA. WAPENZI WOTE WA DANS, POP, CHARANGA, TAARABU, RAGGAE, R&B, MISOSI YA KIZUNGU NA YA KIAFRIKA, VINYWAJI  VIKALI VIKALI NA VYEPESI VYEPESI, SHOWS, NA KADHALIKA NA KADHALIKA..... USIUKOSE MSHIKEMSHIKE NA KAMATAKAMATA YA MUUNGANO. KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA WADAU WALIOTAJWA KWENYE PICHA HAPO JUU...

1 comments

  1. Anonymous says:

    hehehhe,mimi cant wait 4 this day jamani uwiii,full kujiachia mpaka majoogoo,ubaya sasa majogoo Moscow hayawiki ila this will be fun

Post a Comment