Magai na Aziza Nangwa UFUMBUZI wa mvutano wa uchimbaji wa nishati ya mafuta na gesi asilia visiwani Zanzibar uko katika hatua za mwisho baada ya mshauri mwelekezi kutoka...
Mara ya mwisho imebadilishwa: 21 Desemba, 2008 - Imetolewa 12:28 GMT Israel yashambulia Gaza Imeandikwa na Mwandishi wa BBC Mabomu yamedondoshwa Gaza Ndege za kijeshi za Israel zimeshambulia...
• Asema wanataka kujua undani wa Kiwira na Christopher Nyenyembe, Rungwe MBUNGE wa Mpanda Kati, Arfi Amour (CHADEMA), amesema chama hicho hakitaki kumuonea Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuhusu...
The THOMCOM imepata taarifa rasmi zinazoonesha kuwa kuna mtu mmoja amejitahidi kufanya kazi ya kuwatafuta maripota wetu wa The THOMCOM ili kuwapa shuluba bila mafanikio. siku chache baada...
CHOKA MBAYA Na: Mkali Mapunda, Dar es Salaam 26/12/2008 Wale waliokuwa wanafunzi wa chuo kikuu Lumumba na ambao walikuwawanajifanya kama Moscow yote ni ya kwao kwa kuonesha ubabe...
AP – Russian Prime Minister Vladimir Putin chairs a Cabinet meeting in Moscow, on Monday, Dec. 22, 2008. WASHINGTON – U.S. officials said Monday that they want answers...
WAKATI Serikali ikitoa masharti magumu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kurejea vyuoni baada ya kugomea Sera ya Uchangiaji Elimu, uchunguzi wa awali uliofanywa na Jeshi la Polisi umeonyesha...
Na Peter Zakhayo Daily News; Thursday,December 18, 2008 @20:00 Wanafunzi wa CBE wakati wa mahafali ya mwaka huu Habari nyingineWanafunzi vyuo vikuu na ushirikiano wa kinafikiZiwa Tanganyika lina...
Na Jumanne Khasim Daily News; Monday,December 15, 2008 @12:20 Habari nyingineMalkia wa Afrika Mashariki kupatikana leoFlamingo yapigwa jekiMbilinyi bingwa wa FiddleRedio, runinga zatakiwa kuacha kuwanyonya wasaniiMbio za wazi...
Zile kesi zidi ya watuhumiwa wa rushwa zitaendelea kuendeshwa, kwa kutumia utaratibu pamoja na uangalifu kwa kukataa shinikizo la kuwapeleka watuhumiwa mahakamani. Kauli hiyo ya kukataa shinikizo la...
katika kusherehekea sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Mh. Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kaptain mstaafu Jaka Mwambi alitumia nafasi hiyo kuelezea masikitiko yake juu ya baadhi...
wanafunzi watano waliofutiwa udhamini na serikali wamekabidhiwa ticket zao ikiwa ni pamoja na barua rasmi za kuwataka kuondoka nchini haraka iwezekanavyo. kutokana na hotuba ya Mh. balozi ambayo...
Mji mkongwe wa Zanzibar Kongamano juu ya mustakbali wa Zanzibar Mjini London hii leo kunafanyika kongamano la mustakbali wa Visiwa vya Zanzibar lililoitishwa na jumuiya MUWAZA ambayo imesema...
Kuna uvumi unaoenezwa na wanafunzi waliofutiwa udhamini na serikali kuwa serikali pamoja na ubalozi umewaita na kuwapa ofa ya kuendelea kusoma ili waombe msamaha na wanafunzi hao kuchomoa....
kama The THOMCOM ilivyoahidi, itawaletea live sakata zima la kufutiwa dhamini wanafunzi kadhaa chuo kikuu Lumumba. Habari zilizoifikia The THOMCOM zinasema kwamba tayari ticket kwa ajili ya kuwapatia...
SHEREHE ZA MIAKA 47 YA UHURU Baadhi ya Askari wa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa katika Gwaride kwenye Sherehe za miaka 47 ya Uhuru, yaliofanyika leo Uwanja...