Kilimanjaro Stars imefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano hayo baada ya kuifunga Malawi goli1-0 katika kipindi cha Kwanza, lililofungwa na Nurdin Bakari. Leo Kilimanjaro Stars imeonyesha mchezo mzuri ukiacha makosa madogo madogo yaliyojitokeza.
You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - Taifa stars yatinga nusu fainali CECAFA
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
0 comments