Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO - WikiLeaks yamtaja aliyevujisha siri kifo cha Osama Bin Laden

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

taarifa za kina toka wikileaks zinaeleza kwamba CIA isingeweza kumkamata Bin Laden kwa uwezo wao binafsi.
Mtu wa karibu, Khalid Sheikh Mohammed, mfungwa wa gereza la Guatanamo, ndiye aliyekuwa mtumishi wa kutoa na kumpa taarifa, na ametumika kutoa siri kwa CIA juu ya maficho ya Bin Laden.
Gaidi huyo aliamua kutoa siri ya mahali alipojificha Osama baada ya kupewa kibano kutoka kwa majasusi akiwa chini ya ulinzi.
Khalid Sheikh Mohammed, aliweka wazi mahali alipo bosi wake na kusema amekuwa akitumika kama mtumishi wake kwa kumpatia taarifa mbalimbali.
Mtumishi huyo alisema ingawa Osama alikuwa amejificha ndani ya nyumba bila kuwa na simu na mtandao, lakini aliweza kuwasiliana na watumishi wake waliokuwa nje.
Osama alikuwa anamtumia Khalid Sheikh Mohammed, kupeleka na kutoa barua kwa baadhi ya makamanda wakuu wa Al-Qaeda. Alidai kutumia simu na mtandao lilikuwa jambo la hatari.

0 comments

Post a Comment