Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO - Rais Jakaya Kikwete awateua manaibu makatibu wakuu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter


Rais Jakaya Kikwete (wa nne kulia), Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal (kulia kwake) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kushoto kwake) wakiwa kwenye picha ya pamoja na manaibu makatibu wakuu wa wizara mbalimbali. Walipiga picha hiyo baada ya Rais kuwaapisha watendaji hao wa wizara Ikulu, Dar es Salaam.

0 comments

Post a Comment