Serikali ya Uingereza imesema hakauna makubaliano ya kumsamehe Waziri Wa Mambo ya Nchi za Nje wa zamani wa Libya, Moussa Koussa, ambaye aliwasili Uingereza juma lilopita.
Waziri wa Mashauri ya Nchi za Nje wa Ungereza, William Hague, alisema Bwana Koussa hakuwekwa katika kizuizi cha nyumbani, lakini anahojiwa na wakuu, pahala salama.
Taarifa inafuatia tetesi kwenye vyombo vya habari, kwamba Bwana Koussa anaweza kupewa kinga dhidi ya mashtaka kwa vitendo vya zamani vya serikali ya Libya.

0 comments