Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Abuu Semhando 'Baba Diana' wa Twanga Pepeta hatunaye tena

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Bendi maarufu nchini Tanzania, African Stars 'Twanga Pepeta', imepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na kiongozi na mwanamuziki wake mkongwe, Abuu Semhando 'Baba Diana' (pichani) aliyefariki dunia alfajiri ya leo baada ya kugongwa na gari akiwa anaendesha pikipiki. Habari hizi za kusikitisha zimekuja ikiwa ni siku mbili tu baada ya mwanamuziki maarufu Remmy Ongala kuzikwa juzi. Habari zaidi za kifo chake, zitawajia baadae. Mungu ailaze roho ya marehemu peponi - Amin.
Tags:

0 comments

Post a Comment