Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - UDOM waandamana. wapigwa Mabomu

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM ) wameanzisha mgomo tangu jana usiku na kuendelea nao leo asubuhi. Mgomo huo ambao hasa unafanyika katika Chuo Cha Sayansi Jamii(social science) una madai makuu mawili; moja likiwa ni la kufanya mafunzo kwa vitendo na la pili ni kudai miundombinu bora. Taarifa zaidi zinadai kua wanafunzi wa Social Science wamekuawakibaguliwa linapokuja suala la mafunzo kwa vitendo. Kuna wanafunzi wa Social Science ambao sasa wako mwaka wa mwisho lakini hawajawahi kufanya mafunzo kwa vitendo na hivyo wanahoji .

Imeelezwa kuwa wanafunzi waliamshwa saa kumi alfajiri kwa viboko ili kuungana
na wenzao ambao waliandmana kwenda ofisini kwa waziri mkuu na kujikuta katikati ya FFU ambao waliwatawanya kwa mabomu ya machozi!
Tags:

0 comments

Post a Comment