Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Umoja wa Afrika wautaka Umoja wa Mataifa kwenda Somalia

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter


 

Mkutano wa kilele a Umoja wa Afrika watarajiwa kumalizik aleo Kampala, Uganda

 
Mkutano wa kilele wa viongozi wa nchi za Umoja wa Afrika unatarajiwa kumalizika leo katika mji mkuu wa Uganda, Kampala. Katika kikao cha jana kilichofanyika hadi usiku, baadhi ya marais wanachama wa umoja wa Afrika wanautaka umoja wa mataifa kwenda Somalia na kuchangia kwenye juhudi za kuleta amani badala ya kusema utasaidia umoja wa Afrika kutekeleza jukumu hilo.
Tags:

0 comments

Post a Comment