Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Miss asSAFSTU A.K.A MISS AFRICA MOSCOW Iliyofanyika siku ya Ijumaa Tarehe 21/05/2010.

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Hapa ni mmoja kati ya walioshiriki katika kuwania taji hilo la Miss Africa 2010 kutoka Angola
                                                                 
Bi. Luiza Roza - Angola. Bi Luiza ameshika nafasi ya Tatu baada ya kuzidiwa kete na warembo toka Zambia na Mali aliyeshika nafasi ya Pili




                                             Bi. Dallia Rozabel - Congo Brazzaville

Hapa Bi. Mwanza Mulolo toka Zambia aliyenyakua taji hilo akikabidhiwa waridi na mpenzi wake kabla ya matokeo kutangazwa
Bi. Mwanza akionesha vazi lake la mtoko

Baada ya Matokeo kufahamika, Bi. Mwanza akiwa na wadau na Wafadhili wa Pambani hilo ambao ni pamoja na ALAMIN TRAVEL, EGYPT AIR na INSURANCE company LOID CITY.


Bi. Mwanza, akisalimiana na aliyetwaa taji hilo mwaka jana yaani 2009 kutoka Nigeria.
Tags:

1 comments

  1. Anonymous says:

    nguo zao mvuto,''f'' i mean mvuto ''0%''
    tuoneshe mamiss wote,na namba zao..

Post a Comment