You Are Here:
Home -
-
Mamlaka ya Maji safi na maji taka au Dawasa inafanya kazi?
Mamlaka ya Maji safi na maji taka au Dawasa inafanya kazi?
Posted by B.M.T on Tuesday, March 02, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
 |
Maji taka na uchafu ulio ndani ya ukuta wa majengo ya kituo cha Polisi cha Msimbazi unatishia afya za wakazi wa eneo hilo kama ulivyonaswa na kamera ya mpiga picha wetu Kariakoo jijini Dar es Salaam jana. Hatua za dharura zinapaswa kuchukuliwa kuepusha magonjwa ya kuhara na kipindupindu. |
Tags:
0 comments