Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - ALIYEMPIGA RISASI PAPA JOHN PAUL II KUACHILIWA HURU

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
ALIYEMPIGA RISASI PAPA JOHN PAUL II KUACHILIWA HURU
Papa John Paul II (kushoto) akiwa na Mehmet Ali Agca alipomtembelea gerezani mjini Roma.

ALIYEMPIGA RISASI PAPA JOHN PAUL II KUACHILIWA HURU
Mehmet Ali Agca mwenye bastora iliyozungushiwa duara akijiandaa kumshambulia Papa John Paul II.

ALIYEMPIGA RISASI PAPA JOHN PAUL II KUACHILIWA HURU
Papa John Paul II baada ya kupigwa risasi na Mehmet mei 13, 1981 St. Peter's Square mjini Roma.

ALIYEMPIGA RISASI PAPA JOHN PAUL II KUACHILIWA HURU
Papa John Paul II akizungumza na Mehmet alipomtembelea gerezani.

Mtu aliyejaribu kumuua papa John Paul wa Pili yapata miaka ishirini na tisa iliyopita, ataachiliwa huru hii leo kutoka gereza la Uturuki.

Mtu huyo Mehmet Ali Agca ametumika kifungo cha miaka kumi na tisa nchini Italia kwa kumpiga risasi papa John Paul na miaka kumi nyingine nchini Uturuki kwa shitaka la awali la mauaji.

Sababu ya bwana Agca kutaka kumuua papa huyo imebakia kitendawili. Kwanza alisingizia idara ya polisi ya Bulgaria kuwa imemtuma na baadaye akaiambia mahakama kuwa yeye ni masiha mpya.
Tags:

0 comments

Post a Comment