Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Huo ni umasikini wa kufikiri

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Baadhi ya wanafunzi Chuo Kikuu Lumumba wamekula ada kwa kuaamini kuwa 2012 ni mwisho wa Dunia....
Habari ziloifikia Globu hii ya jamii zinasema kuwa baadhi ya watanzania wanaosoma Chuo Kikuu cha Urafiki Lumumba waliacha kulipa ada kutokana na uvumi kuwa mwaka December 2012 ni mwisho wa dunia. wengi wakichukulia yaliyomo katika website hii, http:/www.december212012.com/believers_list.htm ambayo ili jina lako liwepo katika orodha ya watu wanaoamini ni lazima uchangie..kama kweli ni mwisho wa dunia kwa nini wanakusanya michango? watazitumia wapi hizo fedha baada ya mwisho wa dunia? Hii inaonesha jinsi mtu mwingine anavyoweza kudanganywa kirahisi na akadanganyika. Globu hii ya jamii inawashauri wote wanaoacha kufanya mabo ya maendeleo kwa kisingizio cha mwisho wa dunia wafikirie tena na tena ili kuepuka kuja kutoa machozi wakati watu wanasherekea new year 2013.
Na Mwandishi wetu
Make The Earth The Best Place to Live,
Ask for Quality.
Tags:

7 comments

  1. Anonymous says:

    we rafiki una matatizo ya akili watua sio wote waliokula ada naona unafurahia hii inshu sana unafurahi sana unataka wenzetu wafukuzwe hata wakifukuzwa sisi tutapata faida gani wengine walibadilisha kozi sio kwamba wamekula ada jiirekebishe

  2. msema kweli says:

    jamani wengi wamekula ada kizembe kwa mfano president wetu alipewa ada yote kalipa nusu nyingine katia ndani.wengine safari za bongo haziishi.ndio wakome kula ada.kisingizio cha kutumiwa pesa pungufu si kweli na haizid dola 500.tujirekebishe wabongo,hii ni aibu ya watanzania wote.

  3. Anonymous says:

    We msema kweli,acha kusema ni aibu kwa Watanzania wote,hii ni aibu ya asie toa ada na familia yake,kwanza ni mwanachuo asie na akili timamu,ni kwamba unachezea maisha yake.

  4. Anonymous says:

    aibu kwani wewe umekuja na mtu hapa?yaacheni yafukuzwe mwisho wao wa dunia yao si 2012 waende bongo huko wakaungojee.halafu assenga usiandike mambo kishabiki unaweza hata wewe kuibiwa ada mwakani sijui utaandika hapa

  5. Anonymous says:

    tarehe 15 hiyoooooooooooo
    wale wasioamini kufukuzwa shule wajue kuwa barua zao zipo tayari bado iishe deadline tuu.mnaleta mchezo wa kijinga wa sekondari kula ada,mtajijuuuuuuuuuuuuuu!wakubwa wazima,akili za kitoto.kudadadekiiiiiiiiiiiii!ushauri wa bure;kalipeni madeni yenu mapema,kabla mambo hayajaharibika.wengine ndio wanachekesha kabisa,wanadaiwa ada ya masomo na ada ya hostel,Du!hiyo kali.

  6. Anonymous says:

    MKUU WEKA HAYO MAJINA YA WANAFUNZI AMBAO WANAWEZA KUVUMILIWA BAADA YA DEADLINE..KUNA WATU WANA ROHO MBAYA HATA SHETANI ANA ROHO NZURI...POOOOOOO(((( MTOTO WAKIUME UNASHANGILIA KABISA MWENZIO KUFUKUZWA SHULE YAAAAANI KUNA WATU WACHAWI(((( VIJANA KULENI ADA..ADA NI VIJISENT TU WATU HUKO TZ WANAKULA BAJET YA NCHI...ALAFU WE NANII HAPO JUUU UNANONGWAAAAAA((((((((

  7. Anonymous says:

    HATULIPI NA HATUFUKUZWI.TUMEKUJA WOTE HAPA? KAMA NI KULITIA HASARA TAIFA MBONA MAFISADI WANAIBA MIHELA KIBAO NA NDUGU ZAKO WANAKUFA NJAA HUSHANGILII AU HUJUI HILO

Post a Comment