Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Eti ni kweli haya? Mii naona ni njama tuu ili nisipate uondo...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter KAMA NI KWELI, NANI WA KULAUMIWA NCHINI? USINYWE RED BULL -- NI HATARI KWA MAISHA YAKO – HASA VIJANA RED BULL Huuzwa katika maduka makubwa (Supermarkets) na madogo (Retail Shops) katika nchi ya Tanzania na watu wazima na watoto wetu wengi wana mazoea ya kunywa kinywaji hiki ambacho kinaweza kusababisha kifo! Kemikali zinazopatikana katika kinywaji cha RED BULL zilitengenezwa maalum katika maabara za kijeshi za Marekani kwa ajili ya kutuliza mzuka wa maaskari wao wakati wakitekeleza mauaji ya kikatili sana dhidi ya wananchi wa Vietnam miaka ya sitini na sabini. Kemikali hizo zilitumika pia kama dawa ya kuwazindua watu waliozirai (“stress coma”).Hazikukusudiwa kutumiwa kama kinywaji au kilevi cha kawaida! Duniani kinywaji hiki (RED BULL) huuzwa kama kitu cha
Tags:

0 comments

Post a Comment