Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA MICHEZO - Arsenal Yafanya mauaji,,,,

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Timu ya Arsenal maarufu kama washika bunduki, jioni hii imewakandamiza Aston Villa mabao 3-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Emirates. Mabao mawili ya Arsenal yamefungwa na nahodha wa timu hiyo Cesc Fabregas katika dakika ya 65 na ya 81 na lile la tatu limewekwa kimiani na Abou Diaby mnamo dakika ya 91.
Arsenal yaikandamiza Aston Villa 3 kavu Cesc Fabregas Arsenal yaikandamiza Aston Villa 3 kavu

0 comments

Post a Comment