Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Simba yafuta machozi baada ya watoto wa Jangwani kupeleka kilio huko Msimbazi...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Timu ya Simba Fc 'Wekundu wa Msimbazi' jana iliibuka kidedea baada ya kuitwanga Tusker kutoka Kenya mabao 2 kwa 1 katika mchezo uliokuwa mkali uliokwenda mpaka muda wa nyongeza, yaani dakika 120 baada ya muda wa kawaida kukosekana mbabe.
zifuatazo ni picha za tukio hilo: HIVI NDIVYO SIMBA ALIVYOKUNYWA TUSKER HIVI NDIVYO SIMBA ALIVYOKUNYWA TUSKER HIVI NDIVYO SIMBA ALIVYOKUNYWA TUSKER HIVI NDIVYO SIMBA ALIVYOKUNYWA TUSKER
Tags:

0 comments

Post a Comment