Picha Na mmwandishi wetu
You Are Here: Home - - LEO TAREHE 26/12/2009 NI SIKU YA KUZALIWA KWA MDAU KAPONTA ISMAIL , MDAU ANAYESOMA MEDICINE CHUO KIKUU CHA URAFIKI CHA LUMUMBA MOSCOW RUSSIA...
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
mdau Kaponta akifurahia zawadi nono a;iyopewa na mdau mmoja wa globu ya jamii.
mdau Kaponta akiwa katika pozi...na zawadi yake muhimu,,,
Cheeeeeeaaaaaaaaaarrrrsssssss, Kutoka Kushoto ni Mzee wa kubrekisha, Mzee wa globu ya jamii, anayefuta ni Happiness Mwambi, akifuatiwa na Rugarabamu Dionise wakati anayefuata ni Mlengwa Mr. Kaponta na wa mwisho ni Neema Mwambi wakiwa katika Pozi. Sherehe Hiyo ilifanyika block six chuo kikuu cha Urafiki Limumba.


Hepi bethdei, Mbona ilikuwa kimyakimya? unaona umekosa zawadi yangu