Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - LEO TAREHE 26/12/2009 NI SIKU YA KUZALIWA KWA MDAU KAPONTA ISMAIL , MDAU ANAYESOMA MEDICINE CHUO KIKUU CHA URAFIKI CHA LUMUMBA MOSCOW RUSSIA...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter mdau Kaponta akifurahia zawadi nono a;iyopewa na mdau mmoja wa globu ya jamii.
mdau Kaponta akiwa katika pozi...na zawadi yake muhimu,,,
Mdau Kaponta akiwa na marafiki zake siku y Kuzaliwa kwake.. Kutoka Kulia ni Saidi Mahadhi.....
Cheeeeeeaaaaaaaaaarrrrsssssss, Kutoka Kushoto ni Mzee wa kubrekisha, Mzee wa globu ya jamii, anayefuta ni Happiness Mwambi, akifuatiwa na Rugarabamu Dionise wakati anayefuata ni Mlengwa Mr. Kaponta na wa mwisho ni Neema Mwambi wakiwa katika Pozi. Sherehe Hiyo ilifanyika block six chuo kikuu cha Urafiki Limumba.
Picha Na mmwandishi wetu
Tags:

1 comments

  1. Anonymous says:

    Hepi bethdei, Mbona ilikuwa kimyakimya? unaona umekosa zawadi yangu

Post a Comment