Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Mtanzania Elizaberth atolewa kwenye jumba la Big Brother

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Kutolewa jana kwa Mtanzania Elizaberth kwenye jumba la Big Brother kumeacha simanzi kubwa, si kwa mpenzi wake tu Kelvin, bali kwa watazamaji wengine pia, hasa Watanzania ambao wamesema kuondoka kwake kutapoozesha shindano hilo ambalo lilikuwa likifuatiliwa kwa karibu ili kuona hatma ya uhusiano wa Kelvn na Eliza.
Tags:

0 comments

Post a Comment