Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - KWA NINI CCM HAIUNDI TUME KUWACHUNGUZA WANAODAIWA MAFISADI

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
KWA NINI CCM HAIUNDI TUME KUWACHUNGUZA WANAODAIWA MAFISADI? Anne Kilango Malecela
• Ajabu wanaopiga vita ufisadi ndiyo wenye kusakamwa Na Walusanga Ndaki DHORUBA inayoendelea hivi sasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dhahiri imevutia nadhari za Watanzania wengi –- wanachama wa chama hicho, watu wanaokiunga mkono na watu wengine ambao hawahusiki na chama hicho bali wamekuwa wakifuatilia matukio hayokatika chama hicho ambacho kimeitawala nchi hii tangu mwaka 1961 hadi sasa...[i]
Tags:

0 comments

Post a Comment