Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Kongamano la Chama Cha Kiswahili Moscow Lililofanyika katika kumuenzi Mwalimu J.K. Nyerere

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Kiswahili Moscow Mr. Iddi K. Iddi
Maakuli baada ya Kongamano
Waandaaji wa Maakuli wakiweka Mambo sawa
Mh. Generali Killo akielezea jambo
Mh. Generali Killo akielezea jambo
Mwanashairi akikabidhi maudhui ya shairi kwa Mlezi wa Chama Cha Kiswahili Moscow Kapteni Mstaafu Mh. Balozi Jaka Mwambi mara baada ya kulisoma shairi hilo lililotungwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hichi Mr. Iddi K. Iddi
Mwanashairi akiimba shairi
Wanachama wakifuatilia kwa makini kabisa Hotuba ya Mlezi wa Chama Cha Kiswahili Moscow Kapteni Mstaafu Mh. Balozi Jaka Mwambi
Tags:

3 comments

  1. Anonymous says:

    Bwana Idd hongera sana kwa kuchaguliwa

  2. Anonymous says:

    Huo ndio mwendelezo wa lugha ya Kiswahili. Big up

  3. Anonymous says:

    Anayesoma shairi ni kutoka nchi gani?

Post a Comment