Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Taadhari kwa wanafunzi wote waliojaza fomu za mikopo online

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Wanafunzi wote waliojaza fomu ya HESLB namba slf3 ukurasa wa 5/2 online wanashauriwa waangalie tena kwa makini zaidi namba ya account waliyojaza online kwa sababu taarifa za kiufundi zinaonesha kwamba namba hiyo ikiandikwa online, wakati wa kuinakili (printing) HUBADILIKA. Taadhari hii imetufikia mapema leo kutoka katika vyanzo vyetu Na Tedy Mwarabu wa THE THOMCOM
Tags:

0 comments

Post a Comment