You Are Here: Home - - KATIKA KUHADHIMISHA SHEREHE ZA UHURU, VIJANA WAKABITHIWA TIKETI RASMI....
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
wanafunzi watano waliofutiwa udhamini na serikali wamekabidhiwa ticket zao ikiwa ni pamoja na barua rasmi za kuwataka kuondoka nchini haraka iwezekanavyo. kutokana na hotuba ya Mh. balozi ambayo itawekwa rasmi hapo baadaye, wanafunzi hao wamekiuka maadili na wamelidhalilisha taifa mbele ya mataifa yote. habari kamili italetwa kwenu na Juma Khasim wa The THOMCOM toka katika sherehe hizo hapo baadae.
Nikiripoti toka Shabalovskaya, mimi ni Peter Zakayo wa The THOMCOM
hao watu kama ni wajanja wafanye ivi wauze tiketi then izo ela watakazopata wakimbilie nchi nyengine coz wakirudi nyumbani watafungwa kwa kosa la udhalilishaji wa taifa , kuvuluga amani na kusumbua ofisi ya serikali(ubalozi).Balozi katoa fudisho kwa wale wanaojiona ni wajanja sana. na pia hii imekuwa fundisho kwa wote wanaojfanya wababe. we hope pydn patatulia kama ilivyokuwa awali.
WAZO
SERIKALI KAMA INALETA WATU ICHUNGUZE VITU VIFUATAVYO
1.BACKGROUND YA MWANAFUNZI
2.SHULE ALIYOTOKA
3.UMRI (WATU AMBAO WAMESHACHOKA NA MAISHA YA ULAINI SI SUMU)
4.TABIA YA MWANAFUNZI
MKIFUATILIA HAYO BASI HAPAKUWA NA MATATIZO. WAtu WATAISHII VIZURI NA HATIMAYE KUMALIZA MASOMO YAO NA KURUDI SALAMA NYUMBANI NA KULITUKIA TAIFA