You Are Here:
Home -
HABARI ZA KITAIFA
,
HABARI ZA LEO
-
Shilingi ya TZ yaporomoka hadi shilingi 1600 kwa dola. Hizi noti unazikumbuka?
Shilingi ya TZ yaporomoka hadi shilingi 1600 kwa dola. Hizi noti unazikumbuka?
Posted by B.M.T on Thursday, June 09, 2011 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Wakati Waziri wa Fedha Bw. Mustafa Mkullo akitangaza bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2011/2012, shilingi ya Tanzania imeendelea kudondoka hadi kufikia 1600 kwa dola. hilo ni ongezeko la asilimia 4 kulinganisha na wiki iliyopita na ikiwa ni ongezeko la asilimia zaidi ya 12 ukilinganisha na mwaka jana. Uchumi wa Tanzania umeendelea kudorora. Ufuatao ni mchanganuo wa ubadilishanaji wa shilingi kwa kila dola moja
1980 | 8.21 |
1985 | 17.87 |
1990 | 195.04 |
1995 | 536.40 |
2000 | 800.43 |
2005
2006
2007
2008
2009 | 1,127.10
1,251.9
1,255
1,178.1
1,320.3 |
2010
2015 | 1,515.10
???????? |
na sasa dola moja inagonga 1600. je mwaka 2015?
Kwa kuzingatia jumla ya pato la ndani, Tanzania ni nchi ya 32 kutoka mkiani yaani ya 203 kati ya mataifa 235 yanayotambulika kama Sovereign states.
Kwa uoqnde wa maendeleo ya uzalishani umeme nchi yeti inafyata nafasi ya 118 kati ya mataifa 235. Tanzania ina Gas tena nyingi tuu pia mafuta yapo, Hizi noti tunazikumbuka?
0 comments