Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaowania kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho, Makamu wa Rais Dr.Ali Mohamed Shein na Waziri kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)Shamsi Vuai Nahodha wakisalimiana katika viwanja vya Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma |
You Are Here: Home - - Wagombea wakisalimiana
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
0 comments