Kwa muda mrefu sasa jiji la Dar es Salaam limekuwa likikabiliwa na tatizo la msongamano wa magari unaowasababishia wananchi kero na hasara za kiuchumi. Hali kama hii imekuwa ni jambo la kawaida na haijafahamika ni lini tatizo hili litakwisha. (Picha na Mpigapicha wetu) |
You Are Here: Home - - Msongamano Bongo wawa tishio
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
0 comments