Asiye Mchagga Asitie Pua Yake Hapa, Tafadhali...
Nawatakia wachaga wote maandalizi
mema ya x-mas tukutane MOSHI kuhesabiwa.
Salamu zangu za x-mas natuma kwa:
Maruwa, nkya, kiwia, Mawalla, masawe, mangi, mushi, Mosha,manka, Keku, Shirima, lyimo, Ngowi,Lyatuu,Temba,Munuo,Mmary,Kirumbuyo, Tarimo, Mbonika,Maleko,Mselle,Sillayo,Male,Mlay,Lauwo,Tairo,Mrosso,Shoo,Maeda,
Swai,Mauki,Shayo,Kimaro,Soka,Mkenda,makundi,Mangesho,Tilya,
Mamuya,Kinabo,Mlay, Mtei, Ulomi,Njau, Sirili, Matteru, Minja na Macha, ndanshau, temu, merinyo bila kusahau na watani zetu waparis
Ujumbe wangu ni ....tudumishe mila zetu..........
Mdau Mangi
I hear U....
Na mimi napenda kutuma salamu zangu kwa marafiki zangu wote wa pale Marangu Mtoni
Ujumbe nawatakia kila la heri katika sikuku ya Xmas na pia tukumbukane kupitia mtandao wa the The Thomcom. Inc.
Mwisho naomba kupigiwa wimbo wa I'll Be Home For Christmas by Rascal Flatts
Ni mimi BG