Treni ya abiria ya kwenda Mwanza, Kigoma na Mpanda ikiwa imesimama katika stesheni ya Salanda mkoani Singida ili abiria wajipatie chakula juzi. Treni hiyo iliingia mkoani Kigoma jana baada ya madereva wake kuwa na mgomo katika vituo vya njiani mara kwa mara.(Picha na Mpigapicha maalum). |

0 comments