Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - World Cup South Africa 2010. Grooooooooops

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Makundi ya Kombe la Dunia 2010 yatajwa
Makundi ya Mataifa 32 yatakayocheza kombe la Dunia mwaka 2010 yametajwa nchini Afrika Kusini. Kuna makundi manane kuanzia A hadi H.

Makundi hayo ni kama ifuatavyo. Kundi A. Afrika Kusini, Mexico, Uruguay na Ufaransa. Kundi B. Argentina, Nigeria, Korea Kusini na Ugiriki. Kundi C. England, Marekani, Algeria na Slovenia. Kundi D. Ujerumani, Australia, Serbia na Ghana. Kundi E. Uholanzi, Denmark, Japan na Cameroon. Kundi F. Italia, Paraguay, New Zealand na Slovakia. Kundi G. Brazil, Korea Kaskazini, Ivory Coast na Ureno. Kundi H. Uhispania, Uswisi, Honduras na Chile.

Michuano hiyo inaanza Juni 11 hadi Julai 11, 2010, nchini Afrika Kusini.

Tags:

0 comments

Post a Comment