Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - TANZANIA 2011 AKABIDHIWA BENDERA

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel akizungumza katika hafla hiyo ya kumuaga.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba akimkabidhi bendera ya taifa  Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika fainali za mashindano ya urembo ya Dunia yatakayofanyika jijini London Novemba 6. Mrembo huyo anatarajiwa kuondoka Oktoba 19. Kushoto ni Mkuu wa udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza na Mlezi wa kamati ya miss Tanzania, Emmanuel Ole Naiko. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana

0 comments

Post a Comment