Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO , HABARI ZA MICHEZO - UEFA: Walcott aipa Arsenal Matumaini ya kusonga Mbele

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Mchezaji mshambuliaji wa Arsenal Walcott aliandika bao pekee la Arsenal dakika ya nne tuu ya mchezo wake wa kwanza na timu ya Udinese. Arsenal imecheza na kushinda mechi yake ya kwanza bila kiungo wake Cesc Fabregas. Kwa matokeo hayo Arsenal itamenyana tena na timu hiyo ugenini hapo baadae.

0 comments

Post a Comment